29-03-2012.
written by : Steven Minja bayor.
Sim no: 0752923173.
Email: stevbayor.chalii@yahoo.com
photo by: Asmund Oltedal / Raphael Paul
|
Picture ya pamoja ya washiriki wa semina hii na walimu wao Phyneous Masimango pamoja na mwezeshaji wao Raphael Paul. Picture: Asmund Oltedal. |
Capacity bulding ni semina iliyo andaliwa na CHRISC ARUSHA kuanzia tarehe 17th-18th feb. lengo la kueandeshwa kwa semina hii ya capacity bulding ni kuwajengea na kuwaimarisha kikamilifu viongozi wa zone zote zinazo shiriki shughukli za CHRISC kwa zone zote za ARUSHA DISTRICT. Pia seminar hii ilishirikisha zone zote zinazoshulika na shunguli za CHRISC ARUSHA. Baadhi ya zone zilizo shiriki semina hii ni pamoja na SUYE, NGARAMTONI, MESERANI, ESO NA KALOLENI na kila zone ilishirikisha washiriki kitoka zone zao.
bonyeza hapa kuangalia picha zaidi: ALBUM
|
Washiriki wa semina hii wakijadiliana kuhusu jinsi gani watakavyo tatua changamoto wanazo kumbana nazo . Picture: Raphael Paul Khalage. |
BAADHI YA MAFUNZO YALIYO TOLEWA KATIKA SEMINA HIYO NI PAMOJA NA
Washiriki wote waliyo shiriki seminar hii walipatiwa mafunzo yatakayo wawezesha kufanya shughuli zao katika activity za CHRISC ARUSHA. zinazo endeshwa kwa kila zone inayo shiriki league, elimu, training, pamoja na shughuli zote zinazo husika na CHRISC TANZANIA 2012. Yafuatayo ni pamoja na mambo waliyo jifunza viongozi katika seminar hii ya capacity bulding. Viongozi wote walipatiwa uwezo wa kujua namna ya kukabiliana na changamoto zinazo wakabili katia zone zao, na namna ya kutatua changamoto hizo wanazo kutana nazo katika zone zao. Vile vile viongozi wote waliweza kujua ni jinsi gani ya kuishi au kufanya kazi na wotot wakorofi. Wakiwe watoto wanaojighusisha na shuguli za utumiaji wa madawa ya kulevya, watoto watukutu. Ninapo sema watoto watukutu nadhani unanielewa ndugu msomaji wangu namaanisha vijana watundu anaonywa kitu saa hiyo hiyo anarudia kitu alichoonywa. Viongozi walipewa uwezo wa kufanya kazi na vijana wa aina hiyo. Pia viongozi hao walifundishwa namna ya kuandaa riport. Katuka activity yoyote ya CHRISC inayo fanyika lazima kiongozi aliye husika na activity hiyo aandike ripoty yake ya shuhuli husika. Hivyo viongozi hao walipewa uwezo wa kujuan namna ya kuandaa riport hizo kwa kila zone. Pia vilevile walifundishwa ni namna gani ya kuandaa work plane za mwaka mzima , mwezi na hata kwa juma moja, ali mradi tu iwe katika mipangom ya CHRISC Tanzania au distrct committee.
|
Idrissa Hassani akiwa anafundisha washiriki wenzake juu ya hali ya ligi ya vijana . Picture: Asmund Oltedal . |
Name:Idrissa Hassan.
Age: 18.
Zone: kaloleni
Position: zone leader
Favourite game: footbool, vollebool & leadership
Home city: ARUSHA / R.CHUGA
Home team: CHRISC COMBINE TEAM
Walijiunga na CHRISC mwaka 2010 Tanzania kupitia CRHISC 2010 kama mchezaji wz mpira wa miguu. Alitokea katoka team ya sanawari fc idrissa ambaye pia aliudhuria semina hii ya capacity building alisema amejifunza mambo yafuatayo alisema kajifunza mbiniu mbalimbali za kukabiliana na changamoto wanazo kumbana nazo katika kituo chao cha kaloleni, Namna ya kiuishi au kufanya kazi na vijana wakorofi, hasa ukizingatiakatika nkituo chake cha kaloleni kuna watoto wa aina mbalimbali na sasa anafahamu jinsi ya kuishi na watoto hawa. Kwa sasa idrissa anafanya kazi ya kuvolonteea CRHISC kama kiongozi wa zone ya kaloleni, pia ni refaree kwa michuano ya eac na ligi za ndani ya arusha.
Imeandaliwa na
STEVEN MINJA.{BAYOR}
PHONE NUMBER; 0752903173
ADRESS STEVBAYOR.CHALII@YAHOO.COM